WAZIRI MKUU AAGIZA MELI YA NEW MV VICTORIA IANZE KAZI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa siku mbili kwa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Masiliano kuhakikisha kibali cha kuruhusu meli ya New MV Victoria kinapatikana ili ianze kufanya kazi mara moja

Posted: 
Source:  - Nairobi Nairobi City Kenya
Share:
sendShareButton sendTweetButtonView Here

HUKO CHADEMA KUMEKUCHA/WANACHAMA WAANDAMANA HADI MAKAO MAKUU KUHUSU JIMBO LA MBAGALA

Wakazi wa Mbagala kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chademawamefika katika Ofisi za Chama hicho zilizopo Kinondoni na kutoa malalamiko yao ya kutomtaka mtia nia Ubunge aliyefahamika kwa jina moja Khadijana wao ku...

Posted: 
Source:  - Nairobi Nairobi City Kenya
Share:
sendShareButton sendTweetButtonView Here

HAYA HAPA MAJINA YA WAGOMBEA UBUNGE CHADEMA KANDA YA PWANI KASKAZINI

HUKO CHADEMA KUMEKUCHA/WANACHAMA WAANDAMANA HADI MAKAO MAKUU KUHUSU JIMBO LA MBAGALA https://youtu.be/SJJxjUshmag

Posted: 
Source:  - Nairobi Nairobi City Kenya
Share:
sendShareButton sendTweetButtonView Here

#LIVE:MKUTANO WA BARAZA KUU LA JUMUIYA YA WAZAZI (CCM)

https://www.youtube.com/watch?v=OKmYw1dUeh SUMAYE ATOA SOMO MAONESHO YA NANENANE

Posted: 
Source:  - Nairobi Nairobi City Kenya
Share:
sendShareButton sendTweetButtonView Here

MANYOYA YA SUNGURA YANAVYOTUMIKA KWENYE VIDONDA

Manyoya ya mnyama sungura yametajwa kuponyesha kidonda katika mwili wa binadamu huku kukiwa na faida mbalimbali kutoka kwa mnyama huyo mwenye masikio marefu kuliko kichwa chake Afisa wanyamapori wilaya ya Malinyi Ombeni ...

Posted: 
Source:  - Nairobi Nairobi City Kenya
Share:
sendShareButton sendTweetButtonView Here

BABA LEVO NA NIA YA KUJIUNGA CCM ASEMA ZITTO ATASHINDA KIGOMA MJINI

#BABALEVO #ZITTOKABWE #ACTWAZALENDO

Posted: 
Source:  - Nairobi Nairobi City Kenya
Share:
sendShareButton sendTweetButtonView Here

MAALIM SEIF MEMBE WALIVYOPOKELEWA ZANZIBAR NA UMATI HUU

Msafara wa viongozi wakuu wa ACT- Wazalendo wakipokelewa visiwani Zanzibar Msafara unakwenda visiwani humo kwa ajili ya mapokezi ya wagombea urais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad pamoja na Bernard Membe anayewania u...

Posted: 
Source:  - Nairobi Nairobi City Kenya
Share:
sendShareButton sendTweetButtonView Here

SUMAYE ATOA SOMO MAONESHO YA NANENANE

Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye ameipa Serikali somo kuhusu mbinu bora ya kubaini na kutatua changamoto za sekta ya kilimo ufugaji na uvuvi wakati wa kilele cha maonyesho ya Nanenane. Akitoa salaam fupi kabla ya hot...

Posted: 
Source:  - Nairobi Nairobi City Kenya
Share:
sendShareButton sendTweetButtonView Here

MSAFARA WA VIGOGO ACT WAKIELEKEA ZANZIBAR

Msafara wa viongozi wakuu wa ACT- Wazalendo ukipanda boti kwa ajili ya kuelekea Zanzibar Msafara unakwenda visiwani humo kwa ajili ya mapokezi ya wagombea urais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad pamoja na Bernard Memb...

Posted: 
Source:  - Nairobi Nairobi City Kenya
Share:
sendShareButton sendTweetButtonView Here

BABA ALINIITA CHUMBANI NA KUNIAMBIA NIACHE SHULE:"TODAY'S CHAPTER/SIMULIZI YA KUSISIMUA

#SimuliziYaKusisimua #MwananchiDigital #Today'sChapter Ilikuwa ni taarifa ya kutoendelea na shuleBaba aliniita akiwa chumbani kwake..Usoni hakuwa na furahanilihisi kuna msibanikasubiri kuambiwa nani aliyefariki.Ilikuwa n...

Posted: 
Source:  - Nairobi Nairobi City Kenya
Share:
sendShareButton sendTweetButtonView Here

SAFARI KUELEKEA MSIKITI WA SAMATTA BABA YAKE AFUNGUKA

Wazo la Samatta kujenga msikiti lilianza mwaka 2017 mara baada ya kununua viwanja viwili eneo la Kidugwa Vikindu msukumo huo aliupata kutokana na misingiya dinialiyopewa na wazazi wake tangu akiwa mdogo.

Posted: 
Source:  - Nairobi Nairobi City Kenya
Share:
sendShareButton sendTweetButtonView Here

WANAUME HANDENI WAONYWA KUWAPA WAKE ZAO MIMBA KILA MWAKA

Mkuu wa wilaya ya Handeni Toba Nguvila amewataka baadhi ya wanaume kuacha tabia ya kuwazalisha wake zao kila mwaka na badala yakewatoe muda wa mtoto kunyonya kama taratibu za kiafya zinavyoelekeza. Akizungumza na wananch...

Posted: 
Source:  - Nairobi Nairobi City Kenya
Share:
sendShareButton sendTweetButtonView Here

KILIMO CHA NYANYA NA FURSA ZAKE

"Ni muhimu kwa vijana kuwekeza wasisubiri kuajiriwa wakati wakati wanaweza kujiajiri kwenye kilimo chenye faida kama cha nyanya" Huo ni ujumbe wa Martin Mwamunyange anayetaka kuufikisha kwa jamii katika kipindi hiki cha ...

Posted: 
Source:  - Nairobi Nairobi City Kenya
Share:
sendShareButton sendTweetButtonView Here

YANGA YAWAKA USAJILI WA MORRISON SIMBA

Uongozi wa klabu ya Yanga umesema unafuatilia kwa karibu na umakini mkubwa usajili wa winga wao Bernard Morrison uliotangazwa na watani wao Simba kusisitiza endapo ikiwa ni kweli basi hatua kali za mfano zitachukuliwa kw...

Posted: 
Source:  - Nairobi Nairobi City Kenya
Share:
sendShareButton sendTweetButtonView Here

WASOMAJI BORA WA MWEZI WA eGAZETI WAJISHINDIA MAMILIONI

Droo ya kwanza ya kuwapata washindi wa mwezi wa promosheni ya Tajirika na eGazeti imefanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Katika promosheni hiyo Ally Bakari kutoka Dodoma ameibuka msomaji bora wa eGazeti...

Posted: 
Source:  - Nairobi Nairobi City Kenya
Share:
sendShareButton sendTweetButtonView Here